ONA MASTAA WENYE KIGUGUMIZI
Leo ni siku ya kimataifa ya Kigugumizi duniani. Ni siku ambayo dunia inapaswa kufahamu kwa kina kuhusu kigugumizi.
Makundi ya wenye kigugumizi duniani kote hupanga matamasha kuelezea uma kuhusu kigugumizi.
Ni kweli ukiwa na kigugumizi kuna wakati unahisi kutengwa?