UKRAINE KWAWAKA MOTO...FAHAMU UNDANI WA GHASIA
0
![]() |
Rais wa Ukraine Viktor Yanukovych |
Afisa mkuu wa wizara ya sheria na haki
za binadamu nchini humo Bi. Olena Lukash amesema serikali
imekubaliana na wananchi hao jana jioni. Wakati ghsia z akiasiasa
zikiendelea kushika kasi nchini Ukraine walionywa wasipokubalian an
ahilo, serikaoi ingewez kutangaza hali ya hatari wakati wowote.
Aliendelea kusema kuwa sheria hizo
zilizidhinishw atarehe 16 ya mwezi huu zitfutiliwa mbali na matek
awote wataachiwa huru iwapo tu maandamano yataachwa na barabara zote
zitakuw aslamana huru kupitika.
Taarifa hii imekuja baada ya mazungumzo
katika meza ya pamoja kati ya Rais Viktor Yanukovych na upinzani,
ambapo wafuasi wa upinzani wameweka kambi mji mkuu wa Kiev kutaka
kuondoka madarakani kwa Yanukovych na chaguzi mpy anchini humo.
Polisi na waandamaji wamepigana vikali katika mitaa mbalimbali,
ghasia zilizoacha mamia wakiumizwa vibaya na wengi kyupoteza maisha.
Waandamanaji na wanaharakati
wameendelea kutilia msumari msimamo wao w amikutak aRais Yanukovych
kujiuzulu.
Rais aliendelea kufanya mazungumzo na
upinzanio akiwasihi kukubalia ofa mbalimbali alizotoa kama vile
kumtaka kiongozi mmoja wa upinzania Bw. Arseniy Yatsenyuk kuw awaziri
mkuu, nafasi ambayo aliikataa.
Hata hivyo imeripotiwa kuwa, kunaweza kukatokea mabadiliko makubwa katika baraza la mawaziri nchini humo kwani hivi sasa, Tayari Waziri Mkuu wa Ukraine amekwishaandika barua ya kujiuzulu kwa Rais na Rais ameipitisha.
Viongozi wengine wa upinzani ambao ni kiongozi wa chama cha Udar (Punch) Bw. Vitali Klitschko, na wa Nationalist Bw. Oleg Tyahnybok wametafsiri kutoa madaraka kwa Viktor Yanukovych kama kunshindwa kwa sera zake na maamuzi yake ya kuiendesha nchi hivyo kuchochea mipango yakutaka kumng'oa
![]() |
Waziri Mkuu wa Ukraine aliyejiuzulu Mykola Azarov |
Hali inakuwa mbaya zaidi pale ambapo
mipango ya Ukraine ya kufanya makubaliano maalumu na Russia nchi
inayoipatia Ukraine gesi, inagonga mwamba. Miaka 10 iliyopita,
Ukraine ilisaini mkataba ulioitwa kandamizi na Urusi ambapo Ukraine
imekuwa ikilipia zaidi gesi kuliko nchini nyingine za umoja wa Ulaya.
Wadadisi wa mambo wanasema kama hali
ndiyo hii, hata badiliko la serikali linaweza lisisaidie kumaliz
atatizo.
N:BNi kweli. Serikali nchini Ukraine
zimekuwa zikiwahofia wapiga kura wake, hivyo kuogopa hata kupandisha
bei ya mafuta na gesi kwa hofu ya kukosa kura... Unadhani serikali za Tanzania nazo zingekuwa na hofu ya aina hii kwa wapiga kura wake
tungekuwa wapi?