MWANAMKIE AWAOMBA RADHI VIBAKA KWA KUTOIBA CHOCHOTE...
0
Mwanamke mmoja huko Uingereza ameandika
barua kwa vibaka waliovunja kwa makusudi ya kuiba nyumbani kwake
akiwaomba radhi kwa kutokuwepo na vitu vya thamani ndani ya nyumba
hiyo.
Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la
Kate Barrett, mwenye umri wa miaka 36, aliongeza katika barua hiyo
kuwa, yeye na Mpenzi wake Dan Owens, walisikitishw asana kw akitendo
cha vibaka hao kudharau au kutojali uwepo wa Kaseti za video
zilziokuwepo ndani ya nyumba hiyo kwa kuwa waliacha upande huo wa
chumb aukiw ahaujaguswa kabisa.
Miss Barrett aliiweka barua yake hiyo
katika mlango wa nyuma wa nyumba hiyo ambayo anaishi na mpenzi wake
Mr Owens, iliyopo huko Northampton.
Barua ilisoma hivi....
Wapendwa Vibaka,
Ahsanteni sana kwa kufika usiku
ule..lakini tunao,ba radhi kwani hakukua na lolo9te la thamani kw
aajili yenu.
Kama mnavojua hatuna taste ya vitu vya
thamani hivyo haman haja ya kuvamia humu ndani tena.
Labd aikiw amtahitaji kanda zangu za
Video. Hata hivyo mpenzi wangu amesikitika sana hamkuchukua vitu hivi
awali.
Kama mtataka, basi pigeni hodi mlango
wa mbele na muombe...hamna haja ya kuvunja mlango wangu kwasababu ni
kazi sana kuokota vipisi vya viooi vilivyo pasuka sakafuni.
Ahsanteni sana kwa alama za vidole
mlizoacha...Kwa hizo tunawashukuru...
Mapenzi tele...
Kate na Dan xxx
Wapenzi walikuwa kwenye mitoko ya
mwisho w awiki, walipoingili anyumbani kwao...Hata hivyo Polisi mjni
Northampton wanawasaka vibaka hao kwani alama za vidole bado zipo..
KIBONGO BONGO...KULIKONI...HILI
LINAWEZEKANA...TOA MAONI YAKO...