GAUNI YA MKE WA RAIS WA MAREKANI MICHELLE OBAMA YAWEKWA KWENYE KUMBUKUMBU....
0
Uongozi wa Makumbusho ya The Smithsonian huko mjiniWashington umeamua kuweka gauni la Michelle Obama alilolivaa katika sherehe z akuapishw akw amumewe kw amara ya pili kama sehemu ya maonyesho.
Hii ni mara ya kwanza kwa gauni lilivovaliwa katika hafla ya aina hiyo kuwekwa kama maonyesho na itaandikwa katika vitabu vya kihistoria vya Marekani.