ONA AMBAVYO PAPA FRANCIS ALIVUNJA PROTOKALI

0
 
 
Papa mpya mwenye moyo wa ajabu na mnyenyekevu kupita kiasi Papa Francis amevunja protokali baada ya kumkaribisha rafii yake wa karibu aje kuwa naye katki agari alilokuwa akilitumia kusalimiana na watu uwanjani mapema wiki hii huko Vatican.
Padre huyu mgeni wa Papa aliyejulikan akwa jina la Fabian Baez alikuwa kati ya wageni lukuki waliokuwepo katika uwanja wa Mtk Peter ujulikanao kama St Peter's Square.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Papa Francis aliwatakawalinzi wake kumleta rafiki yake huyu Padre  Baez iliawe naye wakati akizunguka katika gari hilo.

0 comments: