MTOTO AONGEA KIINGEREZA KIMAAJABU
0
Mtoto wa kiume wa Uskochi mwenye umri
wa miaka 10 amegundua uwezo wa ajabu aliyonao wakuiongea lugha mama
yake yaani Kiingereza kwa mtindo wa kinyumenyume kwa ufasaha
mkubwa...Ufasaha sawa kabisa na wa mtu mzima napoongea Kiingereza cha
kawaida..
Wazazi wake walimrekodi na kuweka Video
hiyo katika mtandao wa You tube, ukionyesha mtoto huyu akionyesha
uwezo wake huu wa ajabu wa kuzungumza kiingereza kinyumenyume...Sio
kwamba hajui kiingereza sahihi, anakijua vizuri sana, lakini anaweza
pia kukiongea kw amtindo mwingine...
Video hiyo ambayo sasa imekwisha
tizawmwa na zaidi ya watu milioni moja duinaini kote ukiwemo na wewe
unayefanya hivyo sasa uinamuonyesha Cameroon akijielezea kwa lugha
hiyo anayoijua yeye.
Kwa msaada wa iPad inayoweza kutafsiri
kw akiingereza cha kawaida lugha ya Cameroon, ameweza kuzungumza
sentensi mbalimbali ikiwemo, Nilikwend anje kucha nmz abaiskeli yangu
leo, ‘Ninakwenda Canada kwa ajili ya likizo yangu wakati wa
kiangazi.” “Nimeanguka kutoka kitandani nikaangukia kichwa”